Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

SALAM MKUU. Boss wa Lipa namba ya mtandao wa Vodacom 5757565 ARVINDER HAZARA CHANNA. Tarehe 28 mwezi wa Jana yaani mwezi wa 3 ulipokea pesa kimakosa kutoka kwenye namba ya mtandao wa Tigo...
18 Reactions
71 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views
Wakati Tundu Lissu akiwa anaamini mwenyekiti wake Bw Freeman Aikael Mbowe analamba asali toka Kijiji Cha Nyuki kilichopo huko Singida, Tayari Kuna taarifa za chini chini kuwa asali pia...
3 Reactions
33 Replies
388 Views
Nina mbwa mkubwa. Sasa kila mara nikiongeza wadogo ili niongeze idadi hawakai hata mwezi wanakufa. Wanapitia dalili za kunyongonyea, kupoteza hamu ya kula, wala hawarishi na then hata kam tabibu...
1 Reactions
9 Replies
120 Views
Nyimbo sijui Nani kaimba ila Ni nyimbo maarufu Sana tu " huu mwaka eeh " Nikinukuu baadhi ya verse " Ukipata jimama likoboee ,likupe pesa utoboe " Sasa mttoto amekuwa ikiimba Sana hi verse...
7 Reactions
60 Replies
1K Views
Rafiki yangu mpendwa, Kwenye safari ya kujenga utajiri, watu huwa wanashangaza sana. Wengi wanapokuwa na miaka 20 na 30 huwa wanaona ni mapema sana kwao kuhangaika na kujenga utajiri. Hivyo...
5 Reactions
49 Replies
2K Views
Tukisema, ukristo umevamiwa na manabii na mitume wa uongo, watu tuwe tunaelewa. Hawa wameletwa makusudi na shetani, wamepewa nguvu za miujiza na shetani, na kujivika vazi la “ulokole” wakati wao...
5 Reactions
10 Replies
316 Views
Wana jamvi, Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika. Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho...
23 Reactions
201 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,260
Posts
49,626,914
Back
Top Bottom