Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika Hotuba ya Museven amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Africa lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mtoto wa mchungaji Christina shusho 'Odesia Shusho' avishwa Pete ya uchumba.
1 Reactions
34 Replies
514 Views
Kwema Wadau? Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu...
34 Reactions
267 Replies
7K Views
Napigwa bit kwa kuhisi kua nataka kuwasiliana na mama yake mtoto nikiwa na mke wa sasa.. Vipi huko mwenzangu? Imekua kesi, yaani sipati wasaa wa kuongea na dogo kwa sasa ana miaka 4. Toka niachane...
6 Reactions
37 Replies
505 Views
Ninaangalia bunge live TBC ila viti vingi havina wabunge. Hii imekaaje? Mh. Naibu spika anauliza kama hoja imeungwa mkono na jibu ni ndiyo kwa idadi hii!! Je, tunahitaji kubadili sheria ili vikao...
0 Reactions
15 Replies
114 Views
Nimeamua kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba. Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda...
46 Reactions
119 Replies
2K Views
Tangu nianze kusikiliza nyimbo zake huyo mwimbaji namfahamu kwa jina la Christina Shusho. Hivi Shusho ni jina la baba yake na Christina au ni jina la ubini kwa familia ya aliyekuwa mumewe wake ...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari za leo msomaji wa AMKA MTANZANIA, karibu tena kwenye kipengele hiki cha ushauri wa changamoto zinatotuzuia kufikia mafanikio kwa kile ambacho tunafanya. Ni kweli kwamba njia ya kufikia...
6 Reactions
17 Replies
5K Views
Sababu kuu ni kuwa maji ni rasilimali adimu na yenye gharama kubwa ya uzalishaji na usambazaji katika maeneo hayo, wakati mafuta ni rasilimali ya asili ambayo hupatikana kwa wingi. Nchi nyingi za...
0 Reactions
3 Replies
14 Views
Nawakumbusha tu akina Clouds, Wasafi, Channel ten nk Chadema ni blood yaani Uhai kwa walioiamini hata kama Sasa wako CCM kwa sababu za Njaa iliyotukuka kwenye matumbo yao na Ada za Watoto...
6 Reactions
14 Replies
307 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,217
Posts
49,625,688
Back
Top Bottom