Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan...
9 Reactions
31 Replies
390 Views
Naomba kujua bei kuu ya kilo moja ya samaki aina ya sato wa ziwa victoria, bei yake kwa Dar es Salaam na Dodoma ni shilingi ngapi kwa kilo moja?
1 Reactions
1 Replies
39 Views
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸 Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri. 1) Upande wa ndege hawana mpinzani 2) Mambo ya space science ni hatari...
7 Reactions
73 Replies
966 Views
Nawakumbusha tu akina Clouds, Wasafi, Channel ten nk Chadema ni blood yaani Uhai kwa walioiamini hata kama Sasa wako CCM kwa sababu za Njaa iliyotukuka kwenye matumbo yao na Ada za Watoto...
13 Reactions
27 Replies
539 Views
Hakikisha katika kipato chako unachokipata usisahau kutoa sadaka Usisahau kuwakumbuka watoto yatima Usisahau kuwakumbuka wenye mahitaji maalumu Usiwasahau wenye hali za chini
10 Reactions
25 Replies
233 Views
Lecturer anayefundisha kozi ya Research Methodologies akifukuza Wanafunzi ambao hawajakamilisha Ada. Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tumezuiwa kufanya mitihani ya Test One kwa...
1 Reactions
6 Replies
7 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Nape Nnauye waziri wa Habari ,Mawasiliano na teknolojia ya habari amesema ya kuwa serikali haikuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini bali walikwama wenyewe...
6 Reactions
105 Replies
2K Views
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF. Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu. Unajiuliza nini hiki sasa. Sio mbaya kujaribu pengine...
15 Reactions
223 Replies
2K Views
Sehemu gani ya Dar huwezi Kwenda kupanga nyumba ya kuishi? Tupia maoni yako tujuane mapema tu.
0 Reactions
22 Replies
110 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,246
Posts
49,626,308
Back
Top Bottom