Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa ametoa siku thelathini (30) kwa wamiliki wote wa ardhi wanaodaiwa Kodi ya Pango la Ardhi ambao hawajalipa hadi sasa kulipa kodi...
Umewahi kuona hurrier ya kijani au njano.
Au umewahi kuona Land cruiser V8 new modeli ya njano.
Kwa kifupi Tanzania sijawahi kuona gari ndogo za kijani.na njano
Mpendwa msomaji.
Kama ulisoma mkasa[emoji116]
(Nilivyo Okoa Maisha Ya Watalii toka Finland).
Huu ni mkasa kamili wa kisa kile. Nilielezea visa vichache kwa ufupi, lengo lilikuw kuonyesha msaada...
Kuanzia nafanya utafiti jinsi Lugha ya Kiswahili inavyaondikwa kimakosa katika mtandao wa bbc swahili
Mfano leo wameandika
Mamilioni ya watuwenye umri wa makamo wameongozwa kimakosa kuamini kuwa...
Shalom,
Kula shoo ya mume wa mtu kula shoo ya mke wa mtu ila ukweli ni kwamba malipo ni hapahapa Duniani. Karoge kajizindike but karma has no prevention. Na karma inachagua yenyewe uje kwa namna...
Na Mwandishi Wetu
Jopo la Mawakili kumi na nne (14), wataalamu wa takwimu nane (8) na wataalamu wa mitaala watatu (3) kutoka katika kampuni za ushauri elekezi na uwakili zinapanga kuiburuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.