Jinamizi la umasikini ni jinamizi la kale sana ambalo limeshika jamii ya mtanzania kwa sehemu kubwa. Ukiweka familia 10 utakuta zenye afadhali hazizidi 2.
Kihistoria, tokea awamu ya kwanza jamii...
Hamtaki chama na hamna mbadala. Leo inonga kawa mbaya, Hamtaki sary na mlisuguana sana na Mohamed Husein.
Hamtakii mgunda mnamtaka Ibenge. Kwa profile gani ya ivi karibuni.
Ata kama mnanjaa...
Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa
Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha...
Kila mtu hata kama ni jasiri kiasi gani lazima kuna kitu atakuwa anakiogopa tu. Hitler mwenyewe aliogopa mtihani. Katika mazingira yalituzunguka tunaishi na viumbe hai wengi yaani mimea na wanyama...
Pongezi kwa Mabeyo Mkuu wa majeshi Mstaafu kwa kusaidia kutuvusha katika kipindi kigumu, baada ya hapo suala la kuifunga awamu kipindi kinachompa ruhusa ya makamu wa Rais kushika madaraka kwanini...
Ni hivi ndugu zangu nipo kuwakumbusha kuwa hakuna mwizi wa gari akaiba gari na kuliendesha kistaarabu kiasi kwamba hata ukija kulikuta utakuta kama ulivyo liacha.
Ni hi atakanyaga mafuta hadi...
Twede kwenye hoja moja kwa moja wakuu wa afya Kama mpo naomba mnipe elimu ya kina. Mara kadhaa nimekua nikisoma makala tofauti tofauti kuhusu afya kwa upande wa jinsia za kike sijabahatika kuona...
Mbunge anasema na au anakana kwamba yeye si Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania “Mtanzania”.
Sasa Humo Bungeni anafanya nini?
Hatuna Nchi inayoitwa Zanzibar wala nchi ya Tanganyika. Tuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.