Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

ANAANDIKA BICHWA KOMWE:- Hizi shule zinazoitwa "international schools" zinafundisha nini cha ziada sana ambacho hakimo penginepo? Ni kweli, shule zina mazingira mazuri na yanayofurahisha, lakini...
19 Reactions
105 Replies
2K Views
Mashujaa wetu wanazeeka! 😢 Yupi kati ya hawa alikuwa muigizaji bora kwako?
4 Reactions
44 Replies
694 Views
Habari zenu Wana wa Jamii forum? Ni matumaini yangu kuwa wote mnaendelea vizuri na pirikapirika za utafutaji mkate wa kila siku. Bila kupoteza muda Leo acha nitowe hoja ya kizushi. Wanawake...
7 Reactions
27 Replies
369 Views
Ati otikiii🤣🤣👇👇
2 Reactions
17 Replies
282 Views
Mwaka 1993 MIIKKA ALEKSANTERI KARI akiwa anaipambania elimu yake ya chuo kikuu . Ndipo anapewa Information kuwa anapaswa kuja nchini TANZANIA haraka iwezekanavyo. Taarifa ile ilimtaka MIIKKA...
21 Reactions
17 Replies
372 Views
Sehemu gani ya Dar huwezi Kwenda kupanga nyumba ya kuishi? Tupia maoni yako tujuane mapema tu.
2 Reactions
54 Replies
1K Views
Rais Rutto amesema wamefanikiwa kuirejesha Uganda kwenye Bandari ya Mombasa baada ya mgogoro uliokuwepo kupatiwa ufumbuzi Ruto amesema mgogoro huo ulisababisha Uganda ifikirie kutumia Bandari za...
0 Reactions
15 Replies
564 Views
Salary 1.5 m net Familia mme, mke, mtoto mmoja, mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja. Nyumba ya kupanga kodi laki kwa mwezi. Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwaka Malipo awamu tatu...
3 Reactions
50 Replies
687 Views
Nimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge. Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi? Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye...
4 Reactions
47 Replies
597 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
2 Reactions
3 Replies
30 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,366
Posts
49,630,105
Back
Top Bottom