Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku...
6 Reactions
95 Replies
3K Views
Napenda kuchukua fursa hii kuiomba serikali iondoe tofauti kati ya wanafunzi wa kozi ya Clinical Medicine waliomaliza mwezi wa Machi level 6 na wale wa Septemba. Inaonekana ni dhuluma kwa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kufuatia agizo lililotolewa na Serikali kupitia kwa Waziri wa TAMISEMI nchini Mhe Mohamed Omary Mchengerwa, Agizo hilo limeitaka DART kuhakikisha inakamilisha taratibu zote za Ubia na Mbia wa...
8 Reactions
37 Replies
748 Views
Baadhi ya mambo yaliyojitokeza kwenye majadiliano ya CHADEMA ni pamoja na kupenyezwa kwa hoja ya kuwasamehe wabunge 19 warejee kwenye chama. Wajumbe kwa kauli moja wamewakataa wabunge hao na kudai...
13 Reactions
32 Replies
2K Views
Kwetu smart thinkers
2 Reactions
10 Replies
114 Views
Mbona Makalla na Makonda wanakinzana? Kile kikao cha maadili alichoenda April hakikufanya kazi? Anataka kutuambia kuwa anakubali watu huwa wanaonewa kutokana na umasikini wao na hivyo kukosa...
2 Reactions
12 Replies
369 Views
Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
3 Reactions
50 Replies
559 Views
Sasa siwezi hata ongea nikisema neno nalia.
30 Reactions
317 Replies
6K Views
Shalom, Kula shoo ya mume wa mtu kula shoo ya mke wa mtu ila ukweli ni kwamba malipo ni hapahapa Duniani. Karoge kajizindike but karma has no prevention. Na karma inachagua yenyewe uje kwa namna...
6 Reactions
15 Replies
246 Views
Sijui kama Watanzania wengi wanajua kuwepo kwa vikao vya bunge la bajeti vinavyoendelea Dodoma. Yaani kuanzia mitaani, mitandaoni, redioni, Kwenye Luninga na magazeti hakuna habari wala mijadala...
12 Reactions
39 Replies
869 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,178
Posts
49,624,843
Back
Top Bottom