Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakati Tundu Lissu akiwa anaamini mwenyekiti wake Bw Freeman Aikael Mbowe analamba asali toka Kijiji Cha Nyuki kilichopo huko Singida, Tayari Kuna taarifa za chini chini kuwa asali pia...
6 Reactions
55 Replies
1K Views
Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti? Binafsi yangu zijapokea mbs zangu ambazo nilishindwa kutumia wakati ntaneti ilivyokata
5 Reactions
25 Replies
347 Views
Dar es Salaam, 15 Mei 2024: Vodacom Tanzania inafuraha kutangaza kuwa huduma ya intaneti imerejea kikamilifu baada ya upungufu wa ubora wa huduma za intaneti nchi nzima. Tulipata changamoto ya...
5 Reactions
62 Replies
2K Views
Salaam nyingi za upendo kwenu. Wazazi na Walezi, tunapoelekea kwenye siku ya familia duniani tarehe 15 Mei, 2024, tafadhali tuanze ukurasa mpya wa kuwa karibu zaidi na watoto wetu. Zawadi iliyo...
8 Reactions
19 Replies
654 Views
Tundu Lissu amejibu tuhuma zilitolewa dhidi yake kwamba anayoyasema kuhusu Rais Samia na mtoto wake Abdul kutoa pesa ili kuvuruga uchaguzi ndani ya CHADEMA. Majibu hayo yamekuja baada ya member...
5 Reactions
22 Replies
668 Views
Hii ni baada ya bunge kuwa la chama kimoja Bunge limepoteza mvuto kabisa Kwa wananchi kususa kufuatilia mambo ya bunge Nakumbuka kabla ya bunge Kuwa la chama kimoja Wakati huu wa bunge la bajeti...
0 Reactions
7 Replies
145 Views
Binafsi natumia wimbo wa Wiz Khalifa_High_as_me
6 Reactions
66 Replies
788 Views
  • Suggestion
Ulemavu ni hali ya mtu kuwa na upungufu kimwili ambao hufanya iwe vigumu kufanya shughuli kulingana na mazingira yanayomzunguka. Kuna aina nyingi za ulemavu kama usikivu hafifu, ulemavu wa viungo...
0 Reactions
8 Replies
77 Views
Leo ndio nimeamini Member wengi humu jf Wanaumwa na afya ya akili Ni kwanini nasema hivi Ni kwasababu jambo la ujinga ndio linashabikiwa sana kuliko jambo lenye mantik Muda mwengine...
0 Reactions
6 Replies
47 Views
Naushauri uongozi wa Azam kuitetea Brand yao. Hata kama kuna baadhi wana vinasaba na Kolo. Haiwezekani Klabu yenye rasilimali muhimu katika soka halafu inasuasua kama Mtibwa na Ihefu. Mechi 3...
4 Reactions
10 Replies
240 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,305
Posts
49,628,278
Back
Top Bottom