Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari...
The Banking system of Cuba has reportedly collapsed.
Cubans are reporting via Social Media all their money is gone from their accounts, and all Automated Teller Machines (ATM's) have been emptied...
Tukisema, ukristo umevamiwa na manabii na mitume wa uongo, watu tuwe tunaelewa. Hawa wameletwa makusudi na shetani, wamepewa nguvu za miujiza na shetani, na kujivika vazi la “ulokole” wakati wao...
Nyimbo sijui Nani kaimba ila Ni nyimbo maarufu Sana tu " huu mwaka eeh "
Nikinukuu baadhi ya verse
" Ukipata jimama likoboee ,likupe pesa utoboe "
Sasa mttoto amekuwa ikiimba Sana hi verse...
Au Tatizo ni Elimu
Nilitegemea wawe serious wanapopata Fursa za Kuwahoji Viongozi wa Serikali lakini inakuwa Kinyume kabisa na zaidi utakuta wao ndio wanaulizwa maswali
Enzi za Adam Lusekelo au...
Ni vyema tukajulishana vitu vichache vichache ila vina umuhimu mkubwa.
Wanaume mnao tarajia kuingia katika ndoa au mliopo katika ndoa changa msiweke expectations kubwa sana ndani ya ndoa kwamba...
Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti?
Binafsi yangu zijapokea mbs zangu ambazo nilishindwa kutumia wakati ntaneti ilivyokata
Haimaanishi hawa wengine siwakubali la hasha! Ila hawa nitakao wataja nawakubali kwasababu zao mbali mbali na nitazitaja hapa,,,nawe pia mwamba unaweza kufunguka kama itakupendeza ingawa sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.