Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna hizo mechi tatu wadau nataka nitie hii laki tisa mnayoona hapo vipi nitataboa au nitapotea wadau mawazo yenu muhimu kama wawekezaji kuelekea mwisho wa ligi
3 Reactions
18 Replies
300 Views
Serikali kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano imetoa ufafanuzi juu ya ujio wa Starlink ikidai kuwa haijakataa ujio wao bali inasubiri kampuni ya Starlink itimize masharti yaliyowekwa
3 Reactions
6 Replies
32 Views
Wewe kama mwana Jf unafahamu kwamba wabunge wapo bungeni kujadili bajeti ya nchi? Tangu bunge lianze kujadili bajeti umefuatilia na kuona mjadala wowote wa kibajeti? Kwa namna mambo yanayokwenda...
1 Reactions
5 Replies
57 Views
Kama una details za hii gari naomba abc zake hususani bei yake ikiwa yard hapa bongo kuna mtu shimo limetema huko.
1 Reactions
3 Replies
34 Views
Mbunge Mohamed; Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake amesema hayo leo Bungeni wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi Huyu ndiye Mbunge ambaye aliwahi kusema watu...
1 Reactions
4 Replies
88 Views
Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la...
8 Reactions
65 Replies
1K Views
Katika kuhakikisha Serikali inafikia malengo ya bajeti kama zinavyopitishwa waandishi wa habari nchini wamehaswa kutumia vyema uwezo na nafasi zao kitaaluma kuchochea ufikiwaji huo ili kuchochea...
2 Reactions
1 Replies
4 Views
MIMI NA MIMI A Story by Elton Tonny Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Ysiyotazamiwa R-rated 18+ Enjoy! ★★★★★★★★★★★★★ SEHEMU YA KWANZA ★★★★★★★★★★★★★...
3 Reactions
140 Replies
13K Views
Habari za masiku wanajukwaa wote, leo ningependa tujadili watu mysterious kwenye vitabu vyetu vya dini kama ilivyo kawaida yetu. Hivyo twendeni pamoja ili tusolve mystery hii, kubwa ya yote...
37 Reactions
404 Replies
52K Views
Sasa siwez hata ongea nikisema neno nalia.
21 Reactions
148 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,017
Posts
49,620,123
Back
Top Bottom