Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu. Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa. Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari...
23 Reactions
58 Replies
2K Views
Tumeanza kuona vituko, kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Huko Jimbonibkwako hali ikoje?
1 Reactions
3 Replies
81 Views
Twede kwenye hoja moja kwa moja wakuu wa afya Kama mpo naomba mnipe elimu ya kina. Mara kadhaa nimekua nikisoma makala tofauti tofauti kuhusu afya kwa upande wa jinsia za kike sijabahatika kuona...
2 Reactions
142 Replies
1K Views
hivi ni kweli pisi kali zinazoolewa siku hizi zimezaliwa na shepu nzuri na kali zilizochongoka namna ile, au hua kuna namna inafanyika? maana kila send off au ndoa ninayobahatika kuhudhuria...
9 Reactions
36 Replies
1K Views
Mwanaume atavaa kiatu pea moja zaidi ya mwaka bila kununua kipya. Ila mkewe atabadilisha pea mpya kila mwezi na amani itakuwapo. Mwanaume anaweza kwenda bar, au mgahawani na kula anachotaka ila...
2 Reactions
5 Replies
91 Views
Jeshi la polisi Tanzania limetangaza nafasi za kazi, kwa maelekezo zaidi soma[emoji116]
22 Reactions
15K Replies
1M Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Nimemkuta Meya mstaafu wa Ubungo mh Boniface Jacob Kule ukurasani X akisema Yeye alikuwa Mlinzi wa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe Imenitafakarisha sana 🐼 Niishie hapo
3 Reactions
51 Replies
2K Views
[Verse 1 – Professor Jay] Naahidi kuwa makini mpaka siku nafukiwa chini Na Mungu aliye hai bado yu pamoja na mimi Emcee shika vizuri karibu tawi linakatika Na kwa wote mliopo juu na chini sauti...
0 Reactions
5 Replies
418 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,956
Posts
49,618,294
Back
Top Bottom