Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sasa siwezi hata ongea nikisema neno nalia.
30 Reactions
297 Replies
5K Views
Naishauri TTF wairudie mechi ya Simba na Yanga. Ichezwe next week mashabiki tutachangia gharama za mchezo.
4 Reactions
40 Replies
1K Views
07. 05. 2024 Nilifanikiwa Kutembelea Ofisi Ya Afisa Mtendaji wa Kata Ya Kivule, Ili Kujua Mipango Ya Maendeleo Inayoendelea Kwenye Kata Ya Kivule, Pamoja Na Mipango Waliyonayo Katika Utatuaji wa...
1 Reactions
5 Replies
156 Views
Hizi hela za CCM mbona zinaliwa kijinga sana namna hii, Tangu lini Katibu wa Wazee wa CCM akazurula Nchi nzima kwa mikutano ya hadhara? Halafu ni nani ambaye anaweza kushawishika na porojo za...
5 Reactions
53 Replies
2K Views
Mnamo Siku Ya Jana, Nilifanikiwa Kutembelea Ofisi Ya Mkuu wa Wilaya Ya Ilala, Mhe. Edward Jonas Mpogolo, Ili Kujua Machache Kuhusu Maendeleo Ya Wilaya Yetu Ya Ilala. Nilifanikiwa Kutambua...
5 Reactions
19 Replies
458 Views
Anayedaiwa kulala na kula Serena kisha kutokomea aachiliwa huru Habari wana jamvi, awali ya yote nimesikitishwa sana na habari tajwa hapo juu👆 kwani nimejiuliza, je kama menager wa hoteli kubwa...
1 Reactions
6 Replies
74 Views
Klabu zinazoshiriki Ligi Kuu zimeombwa kuunga mkono hoja iliyowasilishwa na Klabu ya Wolverhampton Wanderers inayopendekeza azimio la kupiga Kura ya kufuta Matumizi ya 'VAR' kuanzia Msimu ujao...
1 Reactions
11 Replies
306 Views
Maji ya Chai Arusha 0763759391. Jinsia ya Ke
1 Reactions
1 Replies
32 Views
Wote hatuchagui tuzaliwe wapi ni kama karata unalamba na kuchukuwa unachopata, sasa kama karata yako uliyolamba ni landlocked na umezungukwa na wenye access na bahari lakini they are not good in...
2 Reactions
18 Replies
456 Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
74 Reactions
456 Replies
14K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,134
Posts
49,623,669
Back
Top Bottom