Kama unatumia line ya vodacom, nakujulisha ya kwamba wameachia internet bure baada ya kurekebisha shida ya mtandao, kwa sasa hata kama huna bando unaperuzi free leo, sijui mwisho lini ila...
Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la...
Wasalaam wana jamvi,
Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa...
Kuna wasaka fursa za ajira wenye zaidi ya miaka mitano mijini wanapambana, lakini kwa bahati mbaya hakijaeleweka mpaka sasa hivi.....
Poleni sana, na pongezi nyingi kwa bidii, ustahimilivu, subra...
"MSIMU WA LIGI MBAIMBALI UMEKARIBIA"
Jipatie king'amuzi cha Canal Plus uweze kushuhudia mitanange ya Ligi kubwa Duniani kama UEFA, EPL, LALIGA, BUNDESLIGA, SERIE A, LEAGUE 1 na nyingine kibao...
Kumekuwa na usiri siri wa ajabu sana. Kwanza waziri alikuwa anachenga changa mpaka akabanwa na wabunge kuhusu mikataba ya KIA na kuhakikisha kiwanja kinarudi serikalini. Sasa tunasikia kuna...
Naona Makamanda humu Mitandaoni wamechachamaa kwamba Star link gharama zake za internet ni kubwa kwa nchi fukara kama yetu
Ndio nauliza hizo gharama mnazilinganisha na nini Hata zionekane zina...
Kuna hizo mechi tatu wadau nataka nitie hii laki tisa mnayoona hapo vipi nitataboa au nitapotea wadau mawazo yenu muhimu kama wawekezaji kuelekea mwisho wa ligi
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.