"Nichukue fursa hii kuwapongeza sana viongozi wa Simba, wako very very smart, wanaakili wana brain nzuri ya kujua mpira, yule kocha (Benchikha) alishafika mwisho lakini sisi kama Yanga...
Meneja wa Golikipa Aishi Manula amesema, Djigui Diarra ni usajili bora zaidi wa Yanga katika mafanikio yao ya kutwaa Ubingwa wa ligi kuu misimu (3) mfululizo"
Jemedari Said amesema hajawahi kuona...
Waziri Mkuu wa Slovakia mbaye ni mkosoaji mkubwa wa upelekaji misaada ya silaha Ukraine amepigwa risasi nne wakati akihutubia wananchi na amekimbizwa hospital na helicopter kwa matibabu zaidi...
Kichwa cha uzi kinajieleza.
Lakini Lissu hajawahi kujisifia popote kama aliahidiwa Cheo na Shujaa akakataa.
Wote tunajua 2015 Freeman pamoja na mambo mengine aliahidiwa Uwaziri mkuu na yeye...
Baadhi ya mambo yaliyojitokeza kwenye majadiliano ya CHADEMA ni pamoja na kupenyezwa kwa hoja ya kuwasamehe wabunge 19 warejee kwenye chama. Wajumbe kwa kauli moja wamewakataa wabunge hao na kudai...
Nimeamua kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba.
Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda...
Carlo Ancelotti raia wa Italia ana rekodi kubwa ya kuwa kocha aliyefika Fainali 5 na kubeba mataji manne ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League), mara 2 akiwa AC Milan na mara 2 akiwa...
Waziri Bashe anachapa kazi kwelikweli pale Wizara ya Kilimo kiasi cha kuwa tishio Kwa kundi la wasaka urais ndani ya CCM wanapoona anawaovershine
Kwa sasa moja ya mbinu wanazotumia ni kumchafua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.