Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna wasaka fursa za ajira wenye zaidi ya miaka mitano mijini wanapambana, lakini kwa bahati mbaya hakijaeleweka mpaka sasa hivi..... Poleni sana, na pongezi nyingi kwa bidii, ustahimilivu, subra...
2 Reactions
8 Replies
82 Views
Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana. - Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta - Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu...
38 Reactions
263 Replies
5K Views
IKIWA HUJAPATAPO KUZIONA TARIFA ZA KIKACHERO ZA SPECIAL BRANCH 1950s "Tanganyika Political Intelligence Summary, March 1952": "...it is reported that the Secretary of the Association, Abdul Wahid...
0 Reactions
13 Replies
116 Views
Kwa muda wa mwezi mmoja jumla ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wapatao 194 wamebainika kupewa mimba na kukatishwa masomo yao katika wilaya ya Momba Mkoani Songwe. Hayo yamebainishwa...
4 Reactions
16 Replies
256 Views
Wana jamvi, Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika. Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho...
20 Reactions
173 Replies
4K Views
Sasa siwezi hata ongea nikisema neno nalia.
23 Reactions
180 Replies
3K Views
Kuna hizo mechi tatu wadau nataka nitie hii laki tisa mnayoona hapo vipi nitataboa au nitapotea wadau mawazo yenu muhimu kama wawekezaji kuelekea mwisho wa ligi
4 Reactions
45 Replies
683 Views
Nishawahi kuchangia watu 25 nnaowajua na ndoa 13 Zishavunjika ndani ya mda mfupi tu hivi simuowe kwa siri kwa bajeti ndogo muache kusumbua watu Basi mkiowana msichane ili mtupe moyo think...
3 Reactions
7 Replies
41 Views
Salamaleko, Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake...
1 Reactions
4 Replies
118 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,037
Posts
49,620,718
Back
Top Bottom