Habari wakuu
Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo
Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa...
Akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku...
Kwa muda wa mwezi mmoja jumla ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wapatao 194 wamebainika kupewa mimba na kukatishwa masomo yao katika wilaya ya Momba Mkoani Songwe.
Hayo yamebainishwa...
Nimesikitishwa sana kwa Ban ya siku 14 niliyopata kizembe kwa kumtukana Popoma. Nikiri halikuwa jambo jema hata kidogo na sitarudia tena hadi pale kutakapojitokeza ulazima wa kufanya hivyo...
Mkasa huu nawaletea ulitokea kipindi cha mwaka 2013 nikiwa nasoma chuoni Arusha (IAA – Institute of accountancy Arusha) , nilikuwa na miaka 22
Miaka hiyo nilikuwa natumia ID nyingine humu JF, JF...
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
Ghorofa Inauzwa.
Eneo: Mtoni Kijichi
Ukubwa: Sqm 1250
Nyaraka: Ina Hati Miliki.
Ina vyumba vinne(4), master bedrooms 2, sitting room, dining room, kitchen na public toilet. Pia Kuna boycota...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.