Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni mwaka gani yalisemwa hayo maneno? Na msemaji wake ni nani? Je kilichosemwa kilitokea kweli? Na je Msemaji ni mtu mwema kweli?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mkasa huu nawaletea ulitokea kipindi cha mwaka 2013 nikiwa nasoma chuoni Arusha (IAA – Institute of accountancy Arusha) , nilikuwa na miaka 22 Miaka hiyo nilikuwa natumia ID nyingine humu JF, JF...
60 Reactions
228 Replies
26K Views
Sasa siwez hata ongea nikisema neno nalia.
17 Reactions
119 Replies
2K Views
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar. Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
9 Reactions
342 Replies
10K Views
Ghorofa Inauzwa. Eneo: Mtoni Kijichi Ukubwa: Sqm 1250 Nyaraka: Ina Hati Miliki. Ina vyumba vinne(4), master bedrooms 2, sitting room, dining room, kitchen na public toilet. Pia Kuna boycota...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Aiseeeee habari za leo wazee......... Huyu jirani yangu ana watoto wawili mmoja yuko darasa la tano mwingine yuko darasa la pili, ni mdada wa makamo shughuli yake kuu ni kupika vitafunwa asubuhi...
22 Reactions
124 Replies
4K Views
Mbunge Mohamed; Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake
0 Reactions
0 Replies
1 Views
NEMC na taasisi zingine za uthibiti, eneo la Mchicha Vingunguti kuna hewa kali sana ambayo ukipita lazima ushindwe kupumua na kupata kikohozi kikali. Watu wanasema sulphur inayotoka viwandani...
0 Reactions
6 Replies
22 Views
Akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku...
5 Reactions
79 Replies
2K Views
Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la...
7 Reactions
58 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,000
Posts
49,619,765
Back
Top Bottom