Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
31 Reactions
180 Replies
4K Views
Kuna hii midori, sijui wanaitaje mwanasesere, sijui watu wengine wanaitaje, inatumiwa na wafanyabiashara wa nguo kuvalisha nguo za kuuza Maumbile ya kile kitu yanarandana na mwanamke na mbaya...
34 Reactions
156 Replies
5K Views
Twede kwenye hoja moja kwa moja wakuu wa afya Kama mpo naomba mnipe elimu ya kina. Mara kadhaa nimekua nikisoma makala tofauti tofauti kuhusu afya kwa upande wa jinsia za kike sijabahatika kuona...
2 Reactions
65 Replies
481 Views
Kuna mwamba hapa amekamatwa, ni mchawi Anasema kuwa yeye hutumia mguu WA kiume kuendeshea ndege yake ya usiku ya ungo kwenda kuwanga Dah ila wanaume jamaan poleni Sana Mnalia Lia hamna nguvu za...
4 Reactions
18 Replies
861 Views
Mchina ana kazi nzito haswa dhidi ya marekani. Hapa ni Biden amepitisha furushi hili. I just imposed a series of tariffs on goods made in China: 25% on steel and aluminum, 50% on...
6 Reactions
86 Replies
2K Views
PERSONAL HYGIENE: Guys This Is Just For Common Knowledge And Understand, Kindly Share Experience. Have You Ever Accidentally 'Cut' The Upper Layer Of The 'Crocs' Skin While Trimming Your...
2 Reactions
12 Replies
114 Views
Akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku...
2 Reactions
34 Replies
669 Views
Mimi sio mchoyo nawasanua vijana. Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja. Mambo ya customer...
8 Reactions
64 Replies
2K Views
Ikiwa Mdomo wako hautulii basi kuolewa na smartest man sio rahisi . Rekebisha mdomo , ongea mambo ya msingi ,acha kufatilia umbea na trending. Acha kulalamika. Wanawake wengi ambao...
18 Reactions
31 Replies
728 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,853,903
Posts
49,617,107
Back
Top Bottom