Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naombeni ushauri, Nilikua na mahusiano na mdada kwa kipindi cha mwaka mmoja umepita sasa. Na kama week mbili nyuma zimepita nilimfumania akiwa na mwanaume na nikaamua kuachana nae, simu zake...
2 Reactions
39 Replies
626 Views
Kwa muda wa mwezi mmoja jumla ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wapatao 194 wamebainika kupewa mimba na kukatishwa masomo yao katika wilaya ya Momba Mkoani Songwe. Hayo yamebainishwa...
4 Reactions
15 Replies
256 Views
Nyepesi nyepesi; Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa...
24 Reactions
114 Replies
3K Views
Niaje waungwana Baada ya wazungu kufanikiwa kuwaweka watu wao pale mashariki ya kati (Palestina + Israel), Plan ya pili ilikuwa ni kuwasaidia watu hao kujitanua kutoka nchi moja kwenda nchi...
35 Reactions
267 Replies
8K Views
Hv ni kwel kwa waendao kwa wagang kuna dawa mix full ya kumvuta mpenz kwa harak? Kama kwel ajuae atujuze! Maana weng waongo.
4 Reactions
109 Replies
6K Views
Sasa siwezi hata ongea nikisema neno nalia.
23 Reactions
179 Replies
3K Views
Waziri Mkuu wa Slovakia mbaye ni mkosoaji mkubwa wa upelekaji misaada ya silaha Ukraine amepigwa risasi nne wakati akihutubia wananchi na amekimbizwa hospital na helicopter kwa matibabu zaidi...
3 Reactions
13 Replies
318 Views
Wakuu hii apdate mpya ya jf inanichanganya najuta kuiapdate hii app vp naweza kufuta hii apdate mpya ?
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Ghorofa linauzwa. Eneo: Mtoni Kijichi Ukubwa: Sqm 1250 Nyaraka: Ina Hati Miliki. Ina vyumba vinne(4), master bedrooms 2, sitting room, dining room, kitchen na public toilet. Pia Kuna boycota moja...
3 Reactions
8 Replies
133 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,035
Posts
49,620,650
Back
Top Bottom