Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sasa ni Dhahiri kwamba Chadema ndio Nchi, Hii ni kwa sababu Habari za Chama hicho ndio pekee ambazo wananchi wanataka kuzisikia. Bunge la Bajeti linaendelea lakini cha Ajabu Wananchi wote...
6 Reactions
14 Replies
180 Views
Nijuavyo mimi wanawake wote wajibandikao kope na kucha bandia huwa hawamkubali aliyewaumba, ni wapinzani wa wazi wazi wapingao uumbaji wa Mungu. NB mtu yeyote anayepingana na MUNGU MUUMBAJI...
8 Reactions
75 Replies
1K Views
Rejeeni andiko hili hapa e-GA inahujumiwa Mipango yakuiua ega ilianza toka zamani ,maswali ya msingi haya nani ana majibu yake 1.Kwa nini wanaitoa wizara ya utumishi? 2.Kama hakuna ufanisi huko...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku...
5 Reactions
88 Replies
2K Views
Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?
4 Reactions
43 Replies
476 Views
Mtanzania, Denis Mfumbulwa (44) anayedaiwa kujipatia huduma ya kula katika Hoteli ya Serena bila kulipa, ameachiwa huru katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo jijini Dar es salaam kwa sababu hakuna...
3 Reactions
28 Replies
706 Views
Wewe kama mwana Jf unafahamu kwamba wabunge wapo bungeni kujadili bajeti ya nchi? Tangu bunge lianze kujadili bajeti umefuatilia na kuona mjadala wowote wa kibajeti? Kwa namna mambo yanayokwenda...
7 Reactions
22 Replies
306 Views
Hizi hela za CCM mbona zinaliwa kijinga sana namna hii, Tangu lini Katibu wa Wazee wa CCM akazurula Nchi nzima kwa mikutano ya hadhara? Halafu ni nani ambaye anaweza kushawishika na porojo za...
5 Reactions
47 Replies
2K Views
Kwa wataalam wa bajeti na masuala ya uchumi, ni waziri gani wa fedha amewahi kukopa fedha nyingi kwa muda wa miaka mitatu ya uongozi wake kama Mwigulu Nchemba? Kukopa siyo tatizo, je mikopo hii...
4 Reactions
21 Replies
406 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,074
Posts
49,621,752
Back
Top Bottom