Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Waziri Nape anasema wanashauriana Serikalini ama kupunguza Kodi Kwenye Simu Janja au kuweka Kodi Kwenye Vitochi (viswaswadu) Ili Watu wote waweze kumiliki Simu Janja. Huko tunakoelekea teknolojia...
3 Reactions
27 Replies
516 Views
Maajabu ya lugha ya kingereza sehemu 1 Utamkaji wa maneno ya kingereza unatofautiana sana katika dunia, na hii yote inatokana na kuenea kwa lugha ya kingereza duniani. Duniani ambapo watu wake...
1 Reactions
3 Replies
7 Views
Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa. Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari...
23 Reactions
75 Replies
3K Views
Akiwa anahojiwa kutoka katika televisheni ya Wasafi (Wasafi TV) Waziri Nape amesema kuwa serikali haina matatizo na Starlink, kinachofanya washindwe kutoa huduma zao nchini ni sababu...
1 Reactions
10 Replies
144 Views
Wana jamvi, Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika. Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho...
18 Reactions
158 Replies
4K Views
Sasa siwez hata ongea nikisema neno nalia.
18 Reactions
131 Replies
2K Views
Ni kwa sababu anajua mengi sana na hivyo akiwa nje ya mfumo anaweza kuwa hatari zaidi ukizingatia pia umri wake. Akina Membe walifukuzwa kirahisi kwa sababu tayari uzee ulishakuwepo ndani yao...
3 Reactions
58 Replies
3K Views
“Tumepokea ugeni mzito kutoka moja ya Klabu kubwa Barani Afrika, TP Mazembe ya DR Congo ambao wamevutiwa na namna Klabu yetu ya Yanga inavyoendeshwa hivyo wamekuja hapa Tanzania kujifunza mambo...
13 Reactions
143 Replies
2K Views
Kuna hizo mechi tatu wadau nataka nitie hii laki tisa mnayouona hapo vipi nitataboa au nitapotea wadau mawazo yenu muhimu kama wawekezaji kuelekea mwisho wa ligi.
3 Reactions
5 Replies
158 Views
Wasalaam wana jamvi, Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa...
9 Reactions
67 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,003
Posts
49,619,829
Back
Top Bottom