Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndani ya daladala ya segerea kuelekea tabata kimanga,hali ya hewa ni mvua siku ya jana ya jumamosi. Nimekaa siti ya kulia dirishani kabisa huku naperuzi mtandao pendwa kabisa jamii forums, baada...
14 Reactions
25 Replies
1K Views
Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu. Hivi unajisikiaje kuwa sehemu ya migogoro katika ndoa ya mwanaume mwenzako?,sawa...
13 Reactions
46 Replies
734 Views
Depression inaniua taratibu, sasa siwez hata ongea nikisema neno nalia.
12 Reactions
57 Replies
602 Views
Waziri Nape anasema wanashauriana Serikalini ama kupunguza Kodi Kwenye Simu Janja au kuweka Kodi Kwenye Vitochi (viswaswadu) Ili Watu wote waweze kumiliki Simu Janja Huko tunakoelekea teknolojia...
1 Reactions
18 Replies
174 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
126K Views
Nimemsikiliza Charles Hilary Msemaji wa serikali ya Zanzibar akisema kuwa Serikali hiyo inamiliki Ardhi huko Makurunge Bagamoyo. Hii kisheria imekaaje watanganyika wenzangu.
4 Reactions
17 Replies
467 Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
56 Reactions
317 Replies
7K Views
Karibuni Kwa Live updates za mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar (wenyeji) dhidi ya Mabingwa watetezi , Young Africans sc. Mchezo utaanza leo saa kumi jioni, Katika uwanja wa...
16 Reactions
216 Replies
12K Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
0 Reactions
66 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,975
Posts
49,619,123
Back
Top Bottom