Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu kama ni usafi huwa najisugua hadi damu, hadi majeraha, kama ni boxa ninazo zaidi ya 10, usafi nazinagtia. Naombeni msaada kama una dawa au unafahamu dawa, Hapa chini nimeambatanisha dawa...
6 Reactions
96 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya mawaziri wa awamu ya sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao. Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa...
5 Reactions
19 Replies
321 Views
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike Baada ya Uchaguzi...
215 Reactions
11K Replies
3M Views
@SimbaSCTanzania Muda huu nimekosa usingizi, kwani nalala ili iweje ikiwa baadhi ya watanzania wanamaswali mengi wasiyojua majibu yao. Viongozi wa Simba nani kawaroga kiasi kwamba mnajijali...
1 Reactions
6 Replies
211 Views
Kama ambavyo sisi hulalamika pale wanaotuhudumia wanapofanya vibaya, basi ni jambo jema la kiungwana kuwakumbuka na kuwapongeza wanapofanya vizuri. Katika maisha yangu, sijawahi kushuhudia...
5 Reactions
19 Replies
382 Views
Moja ya utamaduni wa ajabu tuliokopi ingawa sijui tumekopi wapi ni wa yule kijana anayetqrajia kuoa kuingia au kuwa na kipindi kwenye sendoff. Yaani watu wamekusanyika kumuaga binti yao na kumpa...
14 Reactions
52 Replies
944 Views
Kuna watu humu nimeona nao wanachangia kwa upotoshaji,akiwemo mtu anaitwa Tume ya Katiba juu ya namna Lissu alivyotoka Tanzania kwenda Nairobi. Kwanza naomba ku-declare kuwa nilishiriki...
188 Reactions
342 Replies
33K Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
138K Replies
9M Views

FORUM STATS

Threads
1,861,794
Posts
49,841,566
Back
Top Bottom