Wakuu, nipo hapa napambania kujikwamua kwenye umaskini, nipo nachakata mawazo kwa ajili ya kufanya harakati, wengi walianzia chini sana na wakafanikiwa kupata pesa nyingi.
Mawazo yangu niliyonayo...
Tembea uone mambo ya ajabu yaliyopo Tanzania hii, yaani ukiwa mtanzania tayari umeshajiunganisha na mambo ya shirki Moja Kwa moja😀 neema ya mungu ikuokoe tu. Usione mtu ana push ndinga kali ana...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nimemsikiliza mara kadhaa mzee Makala akiwa ndani ya CCM, utumishi wa umma na sasa ndani ya CCM tena. Kuna watu wana bahati ya kupewa madaraka lakini siyo bahati ya kufanikisha malengo ya uteuzi...
hivi ni kweli pisi kali zinazoolewa siku hizi zimezaliwa na shepu nzuri na kali zilizochongoka namna ile, au hua kuna namna inafanyika?
maana kila send off au ndoa ninayobahatika kuhudhuria...
Wakuu Heshima mbele.
Mimi binafsi kwanza niseme ni mtu ambaye napenda sana kusoma historia tofauti tofauti. Nimekuwa nikivutiwa na mzee wangu Mohamed Said katika maandiko yake mengi, mzee Mohamed...
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mobility kwa siku abiria (600x2) pw mojan na mashirika mengine kama...
Dah tuweni makini UKIMWI upo. Humu ni post za mapenzi tu sijui hili au lile . Haya 1.6 ml wanao umeme .
https://youtu.be/eVKa-dIWbdk?si=Eed0o5VAQM4ixvF2
Kupitia ukurasa wao wa Instagram, AzamTv imetangaza kurusha tena ligi kuu ya Hispania ( La liga) kuanzia msimu ujao 2024/2025
Awali AzamTv walikuwa wanarusha ligi hiyo kabla ya kuachana nayo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.