Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu wakuu, najua huku Kuna watu Wana uelewa zaidi katika hili. Nimeshangazwa na Polisi mwenye cheo kama DCP uwa RPC, hali ya Kuwa kuna polisi ni ACP au SACP ni RPCs tena wengine ni ZPC...
0 Reactions
7 Replies
135 Views
Mkazi wa Jijini Dar es salaam amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe akiwa na Tsh. 29,374,000 katika nyumba ya kulala Wageni (Gesti) Mjini Makambako ambapo fedha hiyo inadaiwa ameipata kwa njia ya...
2 Reactions
12 Replies
297 Views
Mchina ana kazi nzito haswa dhidi ya marekani. Hapa ni Biden amepitisha furushi hili. I just imposed a series of tariffs on goods made in China: 25% on steel and aluminum, 50% on...
11 Reactions
121 Replies
3K Views
Maisha yana njia tofauti kutufunza kuwa wapole na subira hasa pale tunapojiona tumefanikiwa. Watu wanashinda kujisifu robo fainali 5 hana cha kujifunza kwa mwenye robo fainali moja. Haya mwenye...
2 Reactions
4 Replies
76 Views
Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
1 Reactions
25 Replies
487 Views
Nimepita mitaani leo watu wako "attention" kusikiliza nini kitatokea kwenye kamati kuu ya CDM, na wengine wanasema mbona kamati inachelewesha kutoa maaximio yake. Kwa kweli Chadema hongereni kwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hizi hela za CCM mbona zinaliwa kijinga sana namna hii, Tangu lini Katibu wa Wazee wa CCM akazurula Nchi nzima kwa mikutano ya hadhara? Halafu ni nani ambaye anaweza kushawishika na porojo za...
5 Reactions
49 Replies
2K Views
Katika miongo kadhaa mji wa Moshi umejizolea sifa za usafi na ambao uliufanya mji huo kuwa na sifa za kipekee nchini ikiwa ni pamoja na kuongoza kwa usafi. Hali hiyo imekua tofauti kwa miaka ya...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Ni Kauli nzito sana Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema Chama kikuu Cha Upinzani sasa mbunge wa ACT wazalendo Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar kumuundia tuhuma kama hizi ni lazima vyombo vya Ulinzi...
1 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,077
Posts
49,621,887
Back
Top Bottom