Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Waziri wa Habari na Mawasiliano, ndugu Nape Nnauye ndiye anapaswa kulaumiwa kwa kutokuwa na internet ya uhakika nchini kwani waziri huyu aliikataa kampuni ya Mmarekani tajiri zaidi duniani iitwayo...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Kama kuna mdau anaelewa, hivi huyo Okra mchezaji wa Yanga yuko wapi? Haonekani kwenye benchi na haonekani jukwaani na hakuna maelezo iwapo ni majeruhi, yuko wapi?
0 Reactions
1 Replies
2 Views
**** wakati unajamba kwa sauti,na kuna wakati unajamba kimyakimya,kuna wakati unajamba inanuka sana na kuna wakati unajamba hakuna harufu kabisa,kwanini? nani anaweza kunielezea
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari wanajf wote ,Naomba kuuliza mtu akiwa na umri wa miaka 23 na akiwa na uzito wa 48.8 kunatatizo kiafya . Naomba kujuzwa kitaalamu. Natanguliza shukurani!!!
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Rais Samia huyoo? Sasa hivi kaenda Ufaransa! Ufaransa, chini ya Macron, sasa hivi kimataifa haivumi upepo mzuri. Matukio ya uhusiano wa Ufaransa na nchi za Afrika Magharibi, kama Niger, Mali...
0 Reactions
31 Replies
654 Views
Bomu baridi la kukabiliana na tembo lazinduliwa Dodoma. Mhe. Dkt. Stergomena Tax. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
1 Reactions
3 Replies
197 Views
Hakuna bin-adam yeyote awe kiongozi ana raia asiyekua na mapungufu,viongozi wote walikuwa nayo uzuri ni kwamba walifanya mengi mazuri kuliko mabaya ndio maana tunakubali kwamba walikuwa the...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Nawezaje nikaacha uvivu katika majukumu ya kazi na shughul nyingine?
3 Reactions
48 Replies
685 Views
Kwema Wadau? Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu...
17 Reactions
144 Replies
2K Views
Usitegemee mwanasiasa akuletee urahisi wa maisha yako. Kila biashara ina mtaji na mtaji wa mwanasiasa ni mtu mjinga ambae hajielewi ndo anaweza kukalishwa kwenye jua na kupangishwa foleni ili...
1 Reactions
2 Replies
26 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,682
Posts
49,611,164
Back
Top Bottom