Kwema Wadau?
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu...
Ukipanda daladala unaweza kugundua jambo lilelile kila siku: kila daladala inapofika kituo chenye watu wengi mlango umeshazibwa na watu ambao hawawezi kusubiri kupambana kwa vile viti vichache...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nyepesi nyepesi;
Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa...
Kama kuna Benki inayo wanyonya wakopaji basi Benki ya NMB inawakausha damu wananchi kisawasawa.
Inawezekanaje mtu anakopa milioni 9 analipa milioni 80 ?!!! Huu ni wiza wa mchana kweupe!!!!
Huu ni...
Unaweza ukajiuliza kwanini migogoro ya ardhi inaongezeka kila siku na hakuna mtumishi wa serikali anayekamatwa wala kuchukuliwa hatua. Ukweli ni kwamba wizara hii na Idara zake wamegawana watoto...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Siku za hivi karibuni chama cha upinzani chadema kimeanza kufanya chaguzi zake za ndani,yapo makandokando mengi sana yameibuka kwenye zoezi hilo.
Miongoni mwa kashfa zilizoibuliwa ni nzito hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.