Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Umekuwa ukipata shida ya mtandao kwenye hizi siku mbili-tatu!? Umejiuliza kwa nini na kulaumu sana mtandao wako.!? Usilaumu sana hili tatizo limesababishwa na "Geomagnetic Instability" Huku ni...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini Josep Msukuma ameyasema hayo wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Afya iliyowasilishwa jana Bungeni Dodoma.
1 Reactions
26 Replies
441 Views
Picha: Internet Fibre Cable ndani ya bahari ya Hindi ambayo watanzania walio wengi waliaminishwa kuwa huenda ikawa na matatizo yaliyopelekea tatizo la internet ================= Umekuwa ukipata...
6 Reactions
9 Replies
224 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
11M Views
Huwezi ita swala la internet jina zuri hivyo halafu kumbe hata internet yenyewe huimiliki. Taifa la watu zaidi ya milioni 50 tunashindwa kuwa na internet yetu wenyewe? Akitokea kichaa mmoja tu...
3 Reactions
29 Replies
590 Views
Nimepitia bajeti ya wizara ya Afya 2024/25 iliyosomwa bungeni May 14, nimekutana na kituko kwa baadhi ya miradi. Mmoja wa mradi wenye kituko ni Uimarishaji ya Hospitali za Rufaa - Mawezi. Mradi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
"Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi...
41 Reactions
179 Replies
6K Views
Habari wanajf wote, Naomba kuuliza mtu akiwa na umri wa miaka 23 na akiwa na uzito wa 48.8 kunatatizo kiafya. Naomba kujuzwa kitaalamu. Natanguliza shukurani!!!
1 Reactions
8 Replies
12 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,685
Posts
49,611,227
Back
Top Bottom