Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana.
- Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta
- Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu...
Mchina ana kazi nzito haswa dhidi ya marekani.
Hapa ni Biden amepitisha furushi hili.
I just imposed a series of tariffs on goods made in China:
25% on steel and aluminum,
50% on...
Mzuka,
Nasikiliza Jahazi mda huu lakini sijui hawa jamaa na kipindi chao wanatangaza nini,
Mchomvu kweli ni changamoto vitu anavyoongea hadi wenzake wanapata shida.
Salaam, zingatia swali hapo juu.
Ati jamani yani kwanini?
Kwanini mpaka tuhaidiwe au tutishiwe ndo tuamini, kwahiyo tunafanya kwa kuogopa au kwa kushawishiwa?
Mfano: Utaambiwa kuna kuchomwa...
Bunge la Ukraine limepasisha muswada wa sheria inayoruhusu kukusanywa na kusajiliwa jeshini wafungwa wa nchi hiyo.
Tovuti ya habari ya Russia Today imeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, rasimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.