Tetesi zinaelekeza Salim Kikeke anaendelea kutajwa kumng'oa Ayub Rioba alijizindika pale TBC. Hii ni baada ya chombo hiki cha Wananchi kushindwa mambo mengi na kufuja fedha za umma huku Watumishi...
Mimi ya kwangu hii hapa
Yaani unaachana na mpenzi wako kisa amekucheat unaanzisha mahusiano na mtu ambaye ametemwa kisa alifumania akicheat na unasema umemove on😂😂😂😂😂😉😉
Bunge la Ukraine limepasisha muswada wa sheria inayoruhusu kukusanywa na kusajiliwa jeshini wafungwa wa nchi hiyo.
Tovuti ya habari ya Russia Today imeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, rasimu...
Probability ya mwanaume kumcheat mkewe( kuwa na mchepuko) Ni almost 80%
Au niseme zaidi ya asilimia 80 ya wanaume wote Duniani Ni wanacheat kwa wapenzi/ wake zao.
Ila ukimuona mwanaume ambaye...
Mzuka Wanajamvi!
Itakuwa bonge la Mechi. Ngumu kwa shabiki wa mpira kukosa kuangalia na kufuatilia.
Hii mechi ya ligi kuu uingereza ni ya kusisimua ni Tottenham Hotspur vs Mancity ambayo...
ZANZIBAR NA COMORO ZINA MAHUSIANO MAALUM
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar na Comoro zina Mahusiano maalum ya kuchanganya damu wa...
Mpaka sasa nchi ina Idadi ya majiji sita, ambayo ni ;
Dar es Salaam
Mwanza
Tanga
Mbeya
Arusha
Dodoma
Ni miaka 3+ tangia kuongeza kwa Idadi ya majiji, ambapo Dodoma ilipandishwa hadhi na kuwa...
Hali ya mtandao wa internet bado ni mbaya sana kiasi cha kufanya shughuli za kiuchumi na kijamii kuathirika. Hii ni pamoja na Mabenki, Mahospitali, maduka, TRA, Umeme, Mashirika ya ndege, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.