Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwa sasa pale DOdoma Wabunge watapitisha kila kitu kinacho letwa mbele yao, na baada ya Bunge kuisha watarudi Majimboni na Pipi za kuhadaa wapiga kura wao. Watarudi na hadaa za mifuko ya Cement...
Rais Samia huyoo?
Sasa hivi kaenda Ufaransa!
Ufaransa, chini ya Macron, sasa hivi kimataifa haivumi upepo mzuri.
Matukio ya uhusiano wa Ufaransa na nchi za Afrika Magharibi, kama Niger, Mali...
Habari wanajukwaa
Leo nimeona niwaelezee smartphone ilivyonipeleka polisi katika kituo ca msimbazi then njkahamishwa hadi kituo cha mbweni kilichopo bagamoyo road
Tlnisiwachoshe ngoja niende moja...
1. Wanawake wa kichaga ukioa akiona tu una future anaanza kujiweka Loyal kwako kwa kukuaminisha yeye ni wakitofauti anataka mfanikiwe wote
2. Anakuweka karibu hadi hati zisome majina yake kupitia...
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Kazi iendelee.
Mama Samia, wakazi na wapiga kura wako wa GOBA Njia ya Tegeta A kuelekea madawa na njia ya Tegeta A kuelekea kulangwa kupitia makanisa ya Katoliki...
Bendera ya CCM ni Kijani na Njano iliyobeba Jembe na Nyundo hii inaonyesha ni Chama kilichojikita kwenye Ustawi wa Jamii iliyo Huru katika kujiletea Maendeleo
Bendera ya Chadema Nyeupe & Nyekundu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.