Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari ndugu zangu. Poleni na majukumu. Ninauza meza 3 za ofisini, zote zimetengenezwa kwa mbao ni imara na zipo vizuri tu. Kuna mradi nilipaswa kufanya ila mambo yakaingiliana. Meza 2...
0 Reactions
4 Replies
120 Views
Huu mchongo unawahusu wataalamu wa afya tabibu, daktar, nesi! Iko hivi kuna vigezo vimewekwa na Wizara ya afya kusajili kituo cha afya iwe zahanati, kituo cha afya nk. Sasa kuna idadi ya watalaam...
2 Reactions
2 Replies
68 Views
Wasalaam ndugu zangu. Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,mimi ni mwanamke natafuta rafiki wa kiume (mwenza). Sina vigezo vingi japo nitavitaja kwa uchache kama ifuatavyo: Umri: miaka 40 na...
12 Reactions
50 Replies
698 Views
Aiseeeee habari za leo wazee......... Huyu jirani yangu ana watoto wawili mmoja yuko darasa la tano mwingine yuko darasa la pili, ni mdada wa makamo shughuli yake kuu ni kupika vitafunwa asubuhi...
6 Reactions
44 Replies
675 Views
Inastaajabisha sana naweza kukaa miezi miwili sija login jamii forum Unapata muda unaingia hukutani na kitu cha muhimu Unakuta petty discussion tena wanaoanzisha wengi wao ni wale wajinga wenye...
5 Reactions
14 Replies
114 Views
Ikatokea umemfumania mkeo, usimuabishe mkeo. Nyamaza, acha huyo mgoni wako aondoke, kaa kitako na mkeo muongee na myamalize nyie wawili na usimtangaze popote.
4 Reactions
67 Replies
2K Views
Kutokana na changamoto za waendesha Pikipiki, nimeona niwakumbushe tena kwani wengi hufanya mzaha barabarani bila kujua kuwa Mwili wao ndio bodi ya pikipiki! 1. Usikae ubavuni mwa gari, kwa...
10 Reactions
33 Replies
797 Views
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria A380 linatua daily kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3...
0 Reactions
9 Replies
113 Views
Mwanafalsafa, mchumi na mwanasiasa wa India ya kale, Chanakya aliwahi kusema, “There is some self-interest behind every friendship. There is no friendship without self-interests. This is a bitter...
3 Reactions
35 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,720
Posts
49,611,935
Back
Top Bottom