Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kama mnavyojua ANC ni Chama rafiki wa Chama Chetu. Sasa ni zamu yetu kuwafundisha mautundu ya kushinda Kwa kishindo katika uchaguzi wao wa 2024. Kwa sasa hao ANC wamekabwa koo na DA (Western Cape...
2 Reactions
4 Replies
603 Views
Kama kuna mdau anaelewa, hivi huyo Okra mchezaji wa Yanga yuko wapi? Haonekani kwenye benchi na haonekani jukwaani na hakuna maelezo iwapo ni majeruhi, yuko wapi?
0 Reactions
9 Replies
394 Views
Sasa tumepata kisingizio cha mkongo wa taifa kuharibika. Tutarajie hali hii kwa miezi kadhaa kama si miaka.
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Mzuka Wanajamvi! Itakuwa bonge la Mechi. Ngumu kwa shabiki wa mpira kukosa kuangalia na kufuatilia. Hii mechi ya ligi kuu uingereza ni ya kusisimua ni Tottenham Hotspur vs Mancity ambayo...
6 Reactions
48 Replies
628 Views
Watu saba wamefariki na wengine sita kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari la abiria aina ya Noah lililokuwa likitokea Dumila kuelekea Morogoro mjini na lori la mizigo lililokuwa likitokea...
1 Reactions
11 Replies
14 Views
Furaha iwe na mipango. === Kaizer Chiefs are set to announce new coach and two signings on Wednesday? On Monday, a statement indicating that Kaizer Chiefs will unveil a new coach and players on...
0 Reactions
28 Replies
803 Views
Nina uzoefu wa miaka miwili as Lab technician nimefanya Bwawa la Umeme la mwalimu Nyerere. Natafuta kazi as Civil technician Foreman Lab technician CAD technician Nipo Dar es salaam
1 Reactions
13 Replies
149 Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
17 Reactions
303 Replies
3K Views
Ewe mwanamke sikia hii, siri za mmeo ziweke kibindoni, kwamba ni malaya sana, unamfumania siku zote, kwamba kitandani ni dhaifu, kwamba ni muongo, kwamba huwa anajinyea hovyo, kwamba hana kazi ya...
1 Reactions
7 Replies
160 Views
Dar es Salaam - 13,719 Shinyanga - 12,300 Mara - 9,823 Mwanza - 9,242 Geita - 7,697 Kigoma - 7,544 Kagera - 7496 Tabora - 7,471 Ruvuma - 7,425 Tanga - 6,827 Chanzo: Wizara ya Afya
4 Reactions
32 Replies
656 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,748
Posts
49,612,672
Back
Top Bottom