Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi ya kwangu hii hapa Yaani unaachana na mpenzi wako kisa amekucheat unaanzisha mahusiano na mtu ambaye ametemwa kisa alifumania akicheat na unasema umemove on😂😂😂😂😂😉😉
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Bunge la Ukraine limepasisha muswada wa sheria inayoruhusu kukusanywa na kusajiliwa jeshini wafungwa wa nchi hiyo. Tovuti ya habari ya Russia Today imeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, rasimu...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Wakuu, hii imekaaje? Ni kwanini wanafunzi wa sekondari hasa kuanzia kidato cha nne, tano na sita wasifundishwe kuwa na mahusiano salama huko mashuleni? Kuna rafiki yangu na ndugu yangu wa...
6 Reactions
89 Replies
14K Views
Zama hizi, utambulisho mkubwa wa CCM kwa jamii ni UOVU. CCM inaonekana ni chama ambacho kipo kwaajili ya kujenga, kulinda na kuendeleza uovu na waovu: 1. UKOSEFU WA UZALENDO: Watuhumiwa wote wa...
11 Reactions
46 Replies
706 Views
Aiseeeee habari za leo wazee......... Huyu jirani yangu ana watoto wawili mmoja yuko darasa la tano mwingine yuko darasa la pili, ni mdada wa makamo shughuli yake kuu ni kupika vitafunwa asubuhi...
17 Reactions
83 Replies
2K Views
Nimemkuta Meya mstaafu wa Ubungo mh Boniface Jacob Kule ukurasani X akisema Yeye alikuwa Mlinzi wa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe Imenitafakarisha sana 🐼 Niishie hapo
1 Reactions
16 Replies
169 Views
Jamaa wanatengeneza makubaliano kuwa mwaka 2030 wakati Dr. Lameck Madelu Mwingulu Nchemba anakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bwana Ally Happi anakuwa Mbunge wa Iramba na anateuliwa...
1 Reactions
16 Replies
800 Views
Habari Naitaji sales person ( Mzoefu au mwenye uwezo wa kutafuta masoko ) Mashara : 300k ~ 400k kwa mwez kutokana na uwezo na uzoefu wako. Piga : 0678650509
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Huyo Dickson Matata kaomba Uenyekiti wa Kanda ya Magharibi, huku Joseph Mbilinyi akiomba nafasi hiyo Kanda ya Nyasa. Swali ni Je Watatoboa?
4 Reactions
10 Replies
348 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,739
Posts
49,612,505
Back
Top Bottom