Alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani mwaka 2016, na kuingia Ikulu 20/01/2017 baada ya kula kiapo.
Katika kipindi cha uongozi wake, alifanya mengi, yakiwemo yaliyowafurahisha na yaliyowakwaza...
Kwa heshima kubwa naomba Serengeti mrudishe logo ya zamani. Hii mpya ni mbaya sana.
Imefanana sana Balimi na hichi kitu sijakipenda. Sijui nani alifanya huu utafiti na kuamua kuja na hii aisee...
Shalom,
Nitoe taarifa na niombe ushirikiano kwa wale ambae tunapenda hao viumbe wa size hizo taarifa fupi ya uzoefu ni kwamba ni watamu sana na wanajua kuisikilizia vizuri na ukiwa fundi wa...
Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni.
Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of...
Habari za Jioni Ndugu zangu. Mimi ni Kijana Nina Changamoto Ya Kusikia
( Usikivu Hafifu) Tatizo hili Sikuzaliwa nalo Bali Limenitokea Ukubwani. Niliumwa Maralia Nikachomwa Kwinini ndo...
MIMI NA MIMI
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Ysiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KWANZA
★★★★★★★★★★★★★...
Ndugu zangu wenye Usikivu Hafifu. Mmewezaje kutoka kimaisha? Mwenzenu naona mambo magumu sana. Kazi sina, zingine napata wananitosa, mtaji sina, mpenzi sina.
Natamani nikimbilie South Africa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.