Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
Ukipanda daladala unaweza kugundua jambo lilelile kila siku: kila daladala inapofika kituo chenye watu wengi mlango umeshazibwa na watu ambao hawawezi kusubiri kupambana kwa vile viti vichache...
0 Reactions
3 Replies
23 Views
Toka kuanza kwa vita ya Gaza Dunia imeshuhudia mtikisiko mkubwa unaotishia ustaarabu wa jamii za asili za mataifa ya magharibi ambao kimsingi unatokana na ushawishi wa ukiristo. Siku za karibuni...
-1 Reactions
39 Replies
727 Views
Hv ni kwel kwa waendao kwa wagang kuna dawa mix full ya kumvuta mpenz kwa harak? Kama kwel ajuae atujuze! Maana weng waongo.
3 Reactions
90 Replies
5K Views
Mashirika kadhaa ya ndege yameathirika pakubwa kwa ukosefu wa internet. Kwenye Uwanja wa JNIA, ndege kama Emirates, KLM, Swiss na Air France zililazimika kuchelewa kutokana na kukosekana na internet
0 Reactions
12 Replies
262 Views
Wakuu salama? Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni...
39 Reactions
189 Replies
6K Views
Siku za hivi karibuni chama cha upinzani chadema kimeanza kufanya chaguzi zake za ndani,yapo makandokando mengi sana yameibuka kwenye zoezi hilo. Miongoni mwa kashfa zilizoibuliwa ni nzito hasa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Huyo baba ameshiriki engagement party ya huyo bint na picha alikuwa anachukua Kama kumbukumbu ya tukio, lkn inaonekana walikuwa na mahusiano au walianza baada ya hiyo shughuli, hiyo picha wako...
12 Reactions
140 Replies
3K Views
Hizi ni baadhi ya kumbi za dansi na starehe miaka ya 80s na mwanzoni mwa miaka ya 90s jijini Dar 1.Wapi wapi's - Chang'ombe 2. Mundo bar - Temeke 3. Dimax bar - Tandika 4. Mango bar - Tandika...
7 Reactions
20 Replies
493 Views
WAKAZI DODOMA WAHIMIZWA KULIPA PANGO LA KODI YA ARDHI
0 Reactions
1 Replies
50 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,658
Posts
49,610,557
Back
Top Bottom