Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hizo Pilika pilika, shamra shamra , shangwe , kishindo na Mtikisiko uliousikia Nchi nzima unahusu kanda 4 tu Ifahamike kwamba bado kuna kanda 6 hazijafanya uchaguzi, sasa bado hatujui nini...
15 Reactions
72 Replies
1K Views
Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na...
6 Reactions
73 Replies
422 Views
Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea. Daladala za kutokea Mbezi mpaka Mnazi Mmoja kupitia Manzese...
4 Reactions
15 Replies
349 Views
Wakuu nimejaribu kuangalia kwenye website yao sioni hata sehemu ya kulog in.
4 Reactions
125 Replies
2K Views
Pamoja na kukusanya mapato kila siku ya shs 500 kupanda kivuko, lakini kuna shilingi 200 kwa kila anayetumia huduma ya vyoo hapa ferry. Kitu kinachochefua ni huduma mbovu ikiwepo na ubovu wa...
1 Reactions
12 Replies
171 Views
Mimi ni kijana nayependa sana miguu yangu, Haya mapenzi yameanza zamani wakati nasoma shule ya msingi kipindi nilipoanza kuoga mwenyewe. Nishagombana sana na ndugu zangu wa damu na mama yangu...
13 Reactions
116 Replies
1K Views
Nimekaa mitaa mingi maeneo ya kipato cha kati na cha juu hata kufikia kupata kwangu. Changamoto nyingi niliyokumbana nayo ni wakati unatafuta sehemu ukakae peke yako ukatafakari hili na lile...
18 Reactions
138 Replies
2K Views
Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu. Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
2 Reactions
24 Replies
261 Views
Mjinga mimi nina swali. Ni swali kumhusu Rais Samia [baadhi yenu ni mama yenu]. Sina takwimu wala taarifa zingine zozote za kuufuta huu ujinga wangu. Na hata sijui niende wapi ili kuzipata...
38 Reactions
139 Replies
5K Views
Niliwahi kuwa na binti mmoja mrembo kwelikweli toka visiwani kizimkazi. Siku ya kwanza nikakuta kikombe kaingia nacho chooni anapiga mswaki. Sijakaa sawa kachukua ndoo ya chooni kakingia maji...
15 Reactions
35 Replies
355 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,660
Posts
49,752,155
Back
Top Bottom