Wakuu habarini...??niende kwenye mada moja Kwa moja.
Nimejaribu kupambana na haya maisha toka nimalize chuo mwaka 2018 lakini mpaka sasahivi bado sijajipata.
Lengo langu nilitaka nipate maisha...
Ni kama Mungu ameumba idadi sawà kati ya wanaume na wanawake
Kwa kuzingatia idadi ya wanawake na wanaume Tanzania na hata duniani kwa ujumla
Statistics zinaonesha wanaume ni 50.4% na wanawake ni...
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Kazi iendelee.
Mama Samia, wakazi na wapiga kura wako wa GOBA Njia ya Tegeta A kuelekea madawa na njia ya Tegeta A kuelekea kulangwa kupitia makanisa ya Katoliki...
Tangu jana sisi ambao asilimia kubwa ya kazi zetu zinategemea mtandao wa internet tumeathirika vibaya. Ningeomba mamlaka ya mawasiliano itoe ruhusa ya kutumia VPN bila kuomba kibali kwa kipindi...
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
Upatikanaji wa chakula
Urahisi wa Usafiri
Elimu
Hali ya Hewa
Huduma za maji
Mitandao ya simu
Usalama...
Toka kuanza kwa vita ya Gaza Dunia imeshuhudia mtikisiko mkubwa unaotishia ustaarabu wa jamii za asili za mataifa ya magharibi ambao kimsingi unatokana na ushawishi wa ukiristo.
Siku za karibuni...
We warned but were never listened to,infact we were ridiculed.Our beloved Magufuli also warned,but was never listened to and infact that very thing took his life.Gwajima warned with tears,but was...
Arusha ni jiji muhimu sana kiuchumi ukizingatia kuwa linaongoza kwa kupokea wageni hasa watalii.
Askari hawa wa usalama wanasababisha kero nyingi kama ifuatavyo;
1. Wamejazwa kila barabara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.