Pia kuna watu wananishauri eti ni watairi kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me.
Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne.
Watoto...
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana
Lakini mimi...
Katika Hotuba yake Bungeni, akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake, amezungumza mambo mengi mazuri sana na ya kueleweka.
Isipokuwa mimi labda kutokana na uchovu wa mwili , sijaelewa...
Habari za jioni ndugu.
Nimefikiria sana kuhusu suala la furaha ya kila binadamu hapa duniani ni nini? Nikapata jibu kuwa kila mtu anayo furaha binafsi yake mwenyewe.
Mimi binafsi furaha yangu...
Karibuni Kwa Live updates za mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar (wenyeji) dhidi ya Mabingwa watetezi , Young Africans sc. Mchezo utaanza leo saa kumi jioni, Katika uwanja wa...
Chief Executive Officer wa PPP Tanzania Bwana David Kafulila amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu imeamua kuzika kabisa tatizo la Umeme Tanzania.
Pamoja na Bwana la Mwl Nyerere (SG) baada ya...
Jamaa wanatengeneza makubaliano kuwa mwaka 2030 wakati Dr. Lameck Madelu Mwingulu Nchemba anakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bwana Ally Happi anakuwa Mbunge wa Iramba na anateuliwa...
Zamani ilikua ngumu sana kupata mtaji wa kuanzisha biashara tofauti na wakati huu wa kidigital.
Fanya mambo yafuatayo unaweza kupata mtaji ukaanzisha biashara zako mwenyewe na maisha yakasonga...
Mkurugenzi wa Ubia nchini Bw David Kafulila ameliambia Taifa kuwa sera, Kanuni na Sheria zilizoanzisha PPP zimekuwepo hata kabla ya Ujio wa awamu ya Sita ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.