Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadau naomba ushauri wenu. Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi. Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message...
19 Reactions
134 Replies
3K Views
Habarini wakuu! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nina changamoto hiyo; siwezi kamwe kurudia tendo nikiwa na mwanamke mmoja......yaani nakuwa mtu wa bao moja tu chali hata nifanye au anifanyie...
2 Reactions
11 Replies
120 Views
Azam akishinda mechi zote atakuwa na points 69, Yanga ina points 68, Yanga ikitoa sare mechi ua kesho watalinga points na Azam, Kwenye head to head Azam yupo juu. HEAD TO HEAD Yanga 3 – 2 Azam...
1 Reactions
7 Replies
243 Views
Bajeti ya Serikali ya Kenya 2024/25 imeruhusu mazao ya Kilimo kutoka Tanzania kupata Ushindani wa Haki kwenye Soko la Kenya Kwa awamu zilizopita pamekuwepo na ugumu kwa wakulima wa Tanzania kuuza...
2 Reactions
7 Replies
42 Views
Wakuu tukiacha masikhara na tukiwa wakweli lazima tukiri kuna miaka CHADEMA ilikuwa ya moto mno kisiasa. Ilikuwa haishikiki. Jijini Arusha na wilaya za jirani walikuwa hawaambiwi kitu kuhusu...
1 Reactions
5 Replies
150 Views
Internet ipo slow sana lakini tunaweza kujuzana mitandao yenye nafuu Hapa natumia halotel 4G, ipo slow kama kobe, Imenilazimu nizime picha kidogo kuna nafuu. Wewe unatumia mtandao gani, Je kuna...
4 Reactions
40 Replies
1K Views
Mahusiano yana siku 3 nikamwambia Jmosi tuvunje amri ya 6 akasema mpaka nimzoee nijiridhishe kama ana tabia njema naye pia ajiridhishe ndipo tufanye. Hivi mtu munaishi mitaa tofauti muchunguzane...
6 Reactions
15 Replies
496 Views
AHMED ALLY RUDI SHULE UKAFUTE UJINGA Anasema wamebakiza mechi 3 wakati bado mechi 4. Ligi yetu timu ziko 16, inamaana kila timu inatakiwa icheze jumla ya mechi 30. Ukiangalia kwenye msimamo wa...
0 Reactions
6 Replies
326 Views
Leo naomba tuangalie na kujiuliza na kujijibu baadhi ya maswali yanayoonekana kuwatatiza watu wengi. 1. Mimi ni nani?; Mimi ni nafsi, mwili na roho. 2. Nimetoka wapi?; Nimetoka kwa Mungu Mkuu...
0 Reactions
1 Replies
8 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,446
Posts
49,604,271
Back
Top Bottom