"Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi...
Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma ameishauri serikali iachane na kufanya Biashara na badala yake Biashara ziachiwe sekta binafsi
Dr Msukuma alikuwa analia na kampuni ya Tanoil ambayo CAG...
Wasalaam,
Sehemu kubwa ya jamii haijui sheria mbalimbali hivyo, hushindwa kuchukua hatua dhidi ya wanaovunja sheria hizo na kuharibu ustawi wa jamii ya makundi yote.
Kusambaza maudhui mbalimbali...
Wakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development)
Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani...
Maono na kiu ya watanzania wengi kuona viwanda vikishamiri ktk nchi yatu, Ni Maono na kiu ya Rais wetu kuendelea kuzindua viwanda vikubwa vya kimkakati hivyo kuchochea ukuaji wa uchumi...
Simba SC haishindi kwa Ubora wa Kocha wa muda Mgunda bali baada ya Viongozi baadhi wa Simba SC ambao wana DNA na Yanga SC pamoja na Matajiri wao wameshamaliza Jukumu lao walilopewa. Mpango ulikuwa...
Ghorofa Inauzwa.
Ina Floor 7
Eneo: Ipo Mtaa wa India, Opposite na J.M.Mall Posta.
Nyaraka: Ina hati miliki.
Bei: Dola Milioni 1.5.
@prathlimited
Mawasiliano:
0767 833345
0784 829565
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.