Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amewasilisha ushahidi wake wa tuhuma za viongozi kupenyezewa rushwa na Matajiri wa CCM
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe atalitolea tamko pamoja na...
Kiongozi wa hovyo ametugharimu mpaka sasa baadhi ya mitandao imeshindwa kutoa huduma ya intaneti.
Mambo kibao hayaendi, leo tunaingia ofisini na hatuna cha kufanya sababu ya huyu Waziri mmoja...
Wakuu kama thread inavojieleza either kulingana na uzoefu wako au umeskia ndugu jamaa wanasema tupate, mkombozi wa mapishi kwa umeme.
Induction cooker
Multi Cooker
Habari!
Nilipomaliza form 6 zikatoka nafasi za kwenda jeshi wanaita "kwa mujibu" basi nikaangaza macho yangu kwenye orodha nikaona "Ephen - Rukwa"
Basi nikafurahi sana, furaha haikua kwasababu...
Kwa mawazo yangu kati ya walimu wakuu ambao wanahitaji nishani za kitaifa ni Mwalimu mkuu wa zamani wa Ilboru. Huyu ndiyo alifanya Ilboru kuwa shule ambayo kwa miaka yote ni ya kipekee kwa kutoa...
Kwa takwimu za mwisho maambukizi mapya ni watu 163k (2023)
Mwaka wa nyuma yake yalikuwa watu 182k (2022)
Mwaka juzi 198k (2021)
Maana yake kila mwaka kuna zaidi ya maambukizi mapya 150k...
Baada ya sekeseke la waimbaji wengi wa Injili hususani wa kike kuharibu ndoa zao, watu wengi wamehoji nini chanzo cha hayo yote.
Ukweli ambao hausemwi na labda haujulikani ni kuwa, wengi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.