Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Vikao vya Kamati Kuu ya Chadema, ambayo sasa imedhihirika kwamba ndio Chama cha Siasa chenye Wanachama wengi zaidi Nchini Tanzania ( inatajwa kuwa na...
Wakuu habarini...??niende kwenye mada moja Kwa moja.
Nimejaribu kupambana na haya maisha toka nimalize chuo mwaka 2018 lakini mpaka sasahivi bado sijajipata.
Lengo langu nilitaka nipate maisha...
Wakuu salama?
Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni...
Wakuu swalama?
Kuzorota kwa huduma gani au shirika gani kutafanya usiipigie tena kura CCM ikafie mbele?
1. Kwakweli kwangu TANESCO ni namba moja, naashum TANESCO ni mbunge, anafanana na yule...
Zuchu adai heshima imekosekana kwenye mahusiano yake na Diamond Platinumz, atangaza kuachana nae rasmi. Hii inakuja wiki kadhaa baada ya Diamond pia kutangaza kuwa yupo single na baadae kurudisha...
Bado kuna umuhimu wa back up ya Hardcopy katika maswala yote ya kiserikali na kijamii ili kuepuka kusimama kwa huduma na mengineyo.
Hili ni somo kubwa kwa wanausalama nchini.
KWA HISANI YA MTU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.