Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Aliyetunga hili neno kura alifikiria sana yaani kura ndo sawasawa na kula. Tunaombwa kura watu wanaenda kula. Nipeni kura zenu maanake nipeni kula.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
1. Wanawake wa kichaga ukioa akiona tu una future anaanza kujiweka Loyal kwako kwa kukuaminisha yeye ni wakitofauti anataka mfanikiwe wote 2. Anakuweka karibu hadi hati zisome majina yake kupitia...
42 Reactions
161 Replies
5K Views
Habari Ni muda sasa nimekuwa nikifungiwa WhatsApp hadi natamani kuifuta kabisa, kila niki submit wanaifungua baada ya masaa 24 kisha haimalizi at a dakika 5 inafungiwa tena naomba msaada
2 Reactions
26 Replies
403 Views
Tunakumbushana tu points muhimu kwamba Usawa unapimwa pia kwa Usajili wa UN Siyo Idadi ya watu pekee Ahsanteni sana 🐼
1 Reactions
11 Replies
104 Views
Leo kuna shida kubwa sana ya mitandao yote ya simu. Tangu saa nne. Nimejikuta nayakumbuka madishi ya Elon Musk ya Starlink.
13 Reactions
110 Replies
5K Views
Wakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development) Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani...
6 Reactions
29 Replies
962 Views
Heshima sana wana ukumbi, Nimesoma maandiko mengi ya wanazuoni wa Kiislam ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakimtwisha zigo Mwl Nyerere kama muasisi wa mfumo Kristo. Katika tafakari yangu ta leo...
5 Reactions
15 Replies
585 Views
Bado tunabishana kijiweni wapo wanaosema huyu ni Kylian Mbappé wapo wanaosema huyu si Kylian Mbappé kwa ukali wa macho yako, huyu ni yeye au si yeye?
1 Reactions
9 Replies
235 Views
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Kazi iendelee. Mama Samia, wakazi na wapiga kura wako wa GOBA Njia ya Tegeta A kuelekea madawa na njia ya Tegeta A kuelekea kulangwa kupitia makanisa ya Katoliki...
0 Reactions
11 Replies
165 Views
Patriarchy ni mfumo dume mfume huu asilimia kubwa ya maamuzi na umiliki unakuwa chini ya mwanaume,huu ni mfumo wa kijamii ambao unaoperate katika nyanja zote za uchumi,siasa na sekta zengine...
2 Reactions
4 Replies
50 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,508
Posts
49,606,123
Back
Top Bottom