Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nataka nidownload nizijazs kwenye flash niwe nazigonga asubuhi na jioni wkt nafanya hom workout Msaada tafadhali waungwana!!
4 Reactions
42 Replies
406 Views
Hii ni dharau, pili mshahara wa Benchikha ulitoka kwa mmiliki wa club ya Simba yaani Mo (alisema kainunua na hajawahi kufuta kauli yake), mishahara ya Mgunda na Matola inatokana na mapato ya club...
2 Reactions
15 Replies
570 Views
Simba SC haishindi kwa Ubora wa Kocha wa muda Mgunda bali baada ya Viongozi baadhi wa Simba SC ambao wana DNA na Yanga SC pamoja na Matajiri wao wameshamaliza Jukumu lao walilopewa. Mpango ulikuwa...
2 Reactions
5 Replies
96 Views
Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma ameishauri serikali iachane na kufanya Biashara na badala yake Biashara ziachiwe sekta binafsi Dr Msukuma alikuwa analia na kampuni ya Tanoil ambayo CAG...
27 Reactions
44 Replies
2K Views
Ndugu zangu Wana wa mungu, nawasalimu na poleni kwa tatizo la internet kuwa chini. Napenda tu nitoe kero zangu kwa baadhi ya posts. Hivi ni kweli kwa huu muungano wa Tanganyika na Zanzibar Kuna...
2 Reactions
18 Replies
373 Views
Kwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, Yeye hachepuki na kwamba Yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia? Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dk. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda wenye...
10 Reactions
74 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
1. Wanawake wa kichaga ukioa akiona tu una future anaanza kujiweka Loyal kwako kwa kukuaminisha yeye ni wakitofauti anataka mfanikiwe wote 2. Anakuweka karibu hadi hati zisome majina yake kupitia...
36 Reactions
130 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,459
Posts
49,604,871
Back
Top Bottom