Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Miaka miwili iliyopita huko Kigamboni, Nilikuwa natoka kwangu na kwenda dukani kufuata mahitaji, wakati nipo njiani kuna vijana watano walikuwa kwenye mjadala juu ya kufanikiwa. Ulikuwa mjadala...
10 Reactions
29 Replies
776 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
29M Views
Habari za jioni ndugu. Nimefikiria sana kuhusu suala la furaha ya kila binadamu hapa duniani ni nini? Nikapata jibu kuwa kila mtu anayo furaha binafsi yake mwenyewe. Mimi binafsi furaha yangu...
5 Reactions
15 Replies
164 Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
150 Reactions
13K Replies
4M Views
VS Tukutane saa 10 jioni kwa updates zaidi kuelekea Ubingwa 2023/2024. Nguvumoja# VIKOSI VYA LEO Kagera Sugar FC Simba SC UPDATES.... 2' Simba wanakosa goli la wazi kabisa hapa. Kupitia...
7 Reactions
290 Replies
5K Views
Inakwaza na kufedhesha sana kwasasa kuona kuna ongezeko kubwa la watoto ambao hawajulikani baba zao ni akina nani na hata kama baba wanajulikana basi hawapo katika maisha ya mtoto. Big up kwa...
45 Reactions
261 Replies
3K Views
Tathmini yangu binafsi inaoonyesha mafunzo ya JKT yanawafanya vijana kuona kama wao ni wanajeshi na kwamba ujeshi ni ukatili kitu ambacho siyo kweli. Katika ulimwengu ulioendelea mwanajeshi ni...
4 Reactions
9 Replies
579 Views
Wamarekani wana mambo kweli. There is genocide in Xinjiang Vs There is no genocide in Gaza
2 Reactions
9 Replies
349 Views
Kuna majina mengi ya bar ya ajabu mengine yana maneo makali sana Nitaanza na mfano 1. Kidimbwi 2. Toroka uje Weka jina unalofahamu
0 Reactions
5 Replies
151 Views
Striker gan wewe mjinga mjinga, striker unapewa pasi funga unapeleka nje, magolo 2 clear kabisa anakosa mjinga huyu, ameniudhi sana leo
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,366
Posts
49,602,236
Back
Top Bottom