Nimekuwa nikifuatilia wananchi wa Mkoa wa Arusha wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Makonda. Kwa asilimia kubwa lazima sheria zifuatwe na Mkuu wa Mkoa hayuko juu ya sheria...
Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
Shirika la Uchunguzi la Mitandao la NetBlocks limesema changamoto ya Ukosefu wa Internet umezikumba Nchi zote za Africa Mashariki na Jirani zao.
NetBlocks wamesema nchi 12 zimeathirika japo...
Kwa takwimu za mwisho maambukizi mapya ni watu 163k (2023)
Mwaka wa nyuma yake yalikuwa watu 182k (2022)
Mwaka juzi 198k (2021)
Maana yake kila mwaka kuna zaidi ya maambukizi mapya 150k...
Tunaendelea na mada yetu ya utekelezwaji wa miradi mbalimbali mikoani.
Wiki Jana ilikuwa ni Kigoma,Leo nakuletea List ya miradi mikubwa Inayotekelezwa na Serikali ya Rais Samia Mkoani Mbeya.👇👇👇...
Kwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, yeye hachepuki na kwamba yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia?
Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dkt. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda...
Licha ya wanawake wachache kunufaika na mikopo ya kausha damu ila mikopo hii ni mateso kwa asilimia kubwa ya wanawake pale anapojikuta hana rejesho.
Nilichobaini ni kwamba wanawake walio na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.