Ukiwa alosto huna mia ya kutu wanakukwepa. Kipindi kile cha kujitafuta ukiwapiga kirungu cha buku ya nauli au bundle ili uweze kufanya mawasiliano wanakupa majibu ya kilokole.
Utasikia asiefanya...
Ndugu zangu Wana wa mungu, nawasalimu na poleni kwa tatizo la internet kuwa chini. Napenda tu nitoe kero zangu kwa baadhi ya posts.
Hivi ni kweli kwa huu muungano wa Tanganyika na Zanzibar Kuna...
Wakuu salama?
Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Wakuu kama thread inavojieleza either kulingana na uzoefu wako au umeskia ndugu jamaa wanasema tupate, mkombozi wa mapishi kwa umeme.
Induction cooker
Multi Cooker
Kama unahisi ushaona kila kitu katika dunia hii basi bado.
Mariam Birian ambaye ni mdada mpika birian maeneo ya Tabata na maarufu huko mitandaoni (wengi mnajua umaarufu wake) amevalishwa pete na...
India imevunja rekodi ya kujenga barabara ya njia 10 kilometers 100 kwa masaa 100 pekee
Sisi tunavunja rekodi ya viongozi kuzurura duniani tu bila tija yoyote ile
Habari katika picha
=====...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.