Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea
https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
Habari JF , TL na JPM personality zao zinafanana sana ukiachana tofauti zilizopo za kisiasa na ni wazalendo kweli kweli
Hivyo Kiuhalisia hakuna zuri ambalo JPM alifanya Tundu lissu asingefanya...
Wakuu Salaam,
Toka nimekaa hapa Jiji la Chalamila, Jana ndio mara yangu ya kwanza kufika Mbagala na kulala huko. Huu Ndio Mtazamo wangu na Baadhi ya niliyoyashuhudia Mbagala..
1. Mbagala Ina...
Wana theolojia, na wengine wote, karibuni kwenye MADA,
Naombeni mnisaidie hili swali,
Ni kama jepesi,Ila ni gumu,ni kutokana na mvutano uliopo,
Kuna wanaosema JEHANAM ya muda sio ya milele na...
Nimeondoka nyumbani kwangu huu ni mwezi wa pili! Mume wangu kuna hela alinipa kama milioni 2, kwaajili ya kumuwekea. Mume wangu alikua ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi, sasa katika kampuni...
Wakuu kama mada inavyojieleza, kuna nimepata dili la kupekeka kirosho kilo 500, ni wapi naweza kupata kwa bei ya jumla?
Tax itakuwa bei gani?
Nahitaji kusafirisha kwa njia ya meli.
Nipo Dar es...
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga, ni kama uwe mahabusu halafu mkeo...
Tanzania, nchi yenye utajiri wa maliasili, utamaduni mzuri, na watu wenye bidii. Hata hivyo, ili kufikia ndoto yetu ya Tanzania bora zaidi, tunahitaji kufikiria kimkakati na kuchukua hatua za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.