Ndugu zangu Watanzania,
Kwa mara nyingine tena Dunia imempatia heshima ya kipekee kabisa na ya hadhi ya juu kabisa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia...
1: Mungu ananguvu kuliko shetani.
2: Mungu ametoa kila kitu cha lazima mtu yeyote atakaye kwenda aende. Hakuna alichobakiza.
3: Neema ya Mungu ina nguvu kuliko nguvu ya dhambi
4: Kwa Mungu...
Siasa za dijitali, siasa za mitandaoni, siasa za Instagram, siasa za uchawa.
Ukiwa na akili timamu huwezi kushabikia siasa za Makonda na umapepe wake wa kulazimisha kukubalika Kila pembe ya...
Mahusiano yana siku 3 nikamwambia Jmosi tuvunje amri ya 6 akasema mpaka nimzoee nijiridhishe kama ana tabia njema naye pia ajiridhishe ndipo tufanye. Hivi mtu munaishi mitaa tofauti muchunguzane...
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija...
Sijui watahamia wapi au waje huku kwa wanaopenda kufia haya mavitu...
US Secretary of State Anthony Blinken warned Qatar last month that they should expel Hamas senior officials if the terror...
Juzi mama wa mwanangu alikuwa anaenda dukani, mtoto nayeye akataka kwenda mama yake akamzuia dogo akawa mbishi.
Ikabidi wakubaliane kwamba hakuna kubwebwa, mtoto akakubali safari ikaanza, kama...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Wazazi wa kiafrika tumekuwa wakoloni sana na hili ndilo linasababisha hata watoto wetu wakiwa wakubwa wanakuwa huru zaidi ya mama zao, kumsaidia mama, kumpa pesa mama, n.k. kuzidi wewe uliepambana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.